MPANGILIO WA MIKOPO NDANI BAKIMI
MKOPO PASIPO RIBA
1. KIWANGO CHA MKOPO : 2500 TSH hadi 100 000
2. SIFA ZA KUOMBA MKOPO : Awe na leseni ya bakimi bank
3. KULIPA MKOPO : Ndani ya miezi 2 ( 2months )
4. AWAMU ZA MALIPO : 4
Unaweza ukalipa awamu zote kwa mkupuo ila tu asipite miezi 2.
5. MALIPO KWA KILA AWAMU : 25% za mkopo ( asilimia 25 )
6. UREFU WA AWAMU : siku kumi na nne ( 14 days )
7. JINSI YA KUOMBA MKOPO : bonyeza ( http://bakimibank.pro/ ), kujaza fomu za mikopo .
note : - Maelezo ya fomu ya mkopo ndiyo yanayo ashiria utayari wa mkopo
- endapo mkopo utapita mda wa kulipa pesa zita katwa toka kwenye account ya bakimi
- ikiwa pesa iliyopo kwenye account aitoshelezi kulipa deni , itakayo baki italipwa kwa kila awamu na faida ya asilia 15 .
Comments
Post a Comment